Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

... july kulikua na sherehe hiI za waroma..sijui komunio..bas my friend akanialika mtoto wa kakake anakomunika..nikamwambia twende..akagoma goma.nikasema twende kuna biando kukubali ..uwiiii anafika pale anasema ukute nimeletwa kwenye sherehe ya mtoto wa mchepukomaana baba mtu alikuja nipokea akanitaja na jina heheheh alisimamisha masikio had shereh inaishaaamaskini kaka mtu (baba wa mtot akawa anatupa care fulan mara nyagi mara nyama ila mume anakula huku anatikisa kichwa..akichek mshikaj anatazamika..mwe nitapauka kwakwel ngoja niendelee kujinyenyekeza kwa kicho!
Ndo ukaage ndani tu kama mwali sasa, atakuja atuulie wanaume wetu na wivu wake khaa
 
Chivu%201221-043948.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom