Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,361
- 176,182
Mweeeeeh!!Nimekivaa auntie
Si ulisema unataka akuoe maana mkwe anachelewesha ndoa!!Ni rafiki tuu
MmmhAuntie mie sijasema hivyo ujue!! Nimesema eti ndani kwenu kuna panya wengi, besdei ijayo nawaletea zawadi ya sumu ya panya.
Hapana auntieeHahahaaaa!! Haki hapa sina mtoto, ndio unataka kusema kuwa na mimi ni panya si ndio!!!
Au mmeshawaua wote?Mmmh
Hahahaa..Auntie mie sijasema hivyo ujue!! Nimesema eti ndani kwenu kuna panya wengi, besdei ijayo nawaletea zawadi ya sumu ya panya.


Khaaaah!!Hapana auntiee
Ngoja nikikutana na wale wauza sumu za panya niwanunulie.Hahahaa..![]()
Mimi siwawezi
Auntie utaua mke wangu sasa hapoNgoja nikikutana na wale wauza sumu za panya niwanunulie.
Ndio auntKwahiyo vitenge vyangu ndio ukajifunga!!!!
EeehMweeeeeh!!
Niliona ako na nia auntSi ulisema unataka akuoe maana mkwe anachelewesha ndoa!!
Ni ukweliHahahaa![]()
Naona unamkata stimu tuu..
BadoAu mmeshawaua wote?
Naona mnapambana tuu...! Ila hiyo dawa siyo.Ndio aunt
Bado
Haina shida!!! Lazima panya waisheNaona mnapambana tuu...! Ila hiyo dawa siyo.
Hivi lakini tuna panya wanaokula vitenge kwani?Haina shida!!! Lazima panya waishe