Happy birthday, Halopesa!

Nilishatumia mara moja kama miezi miwili sim card ikapotea

Wakati huo walikuwa wana kifurushi chao kizuri cha unlimited internet kuanzia saa sita usiku hadi asubuhi

Customer care wakati huo ilikuwa mbaya sana, sijui sasa
Zamani ukipiga simu usiku unasikia wanakoroma..🀣
 
Nilishatumia mara moja kama miezi miwili sim card ikapotea

Wakati huo walikuwa wana kifurushi chao kizuri cha unlimited internet kuanzia saa sita usiku hadi asubuhi

Customer care wakati huo ilikuwa mbaya sana, sijui sasa
hichi kifurushi kipo mpaka sasa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…