Happy Birthday Halima Mdee

Happy Birthday Halima Mdee

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,718
Reaction score
6,769
Naomba nichukue fursa hii kumwish happy birthday Mheshimiwa Halima Mdee.

Naomba salamu hizi zimfikie popote pale alipo.


0D6719DD-F773-44ED-92FF-152EF9708197.jpeg
 
Happy birthday Halima,38 ni wakati muafaka kabisa kuolewa
 
hili dada nalipenda sana mwaaaaaaah
Brother fba falcon zako zinakuruhus kabisa kuvuta huyu mtoto maana uhakika wa hesab siupo kama yy alivyona uhakika wa hesab za mjengon kipnd cha mwisho wa mwez na kwenye vikao jiachie tu brother
 
Eti nanong'onezwa hapa... kati ya hizo replies hapo juu kuna moja ya Mh.Ester Bulaya etii

Subirini muone
 
Back
Top Bottom