Happy birthday Halima J.Mdee

Happy birthday Halima J.Mdee

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Tarehe kama ya leo mwaka 1978 alizaliwa Mbunge wa Kawe-CHADEMA, Mh. Halima Mdee. Halima Mdee ni kati ya mifano ya wanasiasa wa kike wa kitanzania kutokea upinzani aliyethubutu na kugombea Ubunge wa Jimbo na kuachana na ule wa Viti Maalum.


Kuongezeka kwa miaka kunaendana na kuongezeka kwa maarifa,nguvu na hekima. Hongera Halima Mdee kwa siku yako ya kuzaliwa huku ukiendelea kuwatumikia wananchi wako wa Kawe na Taifa kwa ujumla.
 

Attachments

  • untitled.png
    untitled.png
    12.1 KB · Views: 1,229
Happy birthday kamanda usiyeyumbishwa na Maccm
 
Happy Birthday Halima James Mdee

Live Longer Kamanda
 
Happy birthday kamanda Halima,

Sijawahi kujutia kupoteza siku2 za kulinda matokeo yako bila kulala na tena bila malipo yoyote.

Mungu akubariki na kukulinda.

Ntayalinda tena matoke ya ushindi wako October2015
 
Happy birthday kamanda Halima,

Sijawahi kujutia kupoteza siku2 za kulinda matokeo yako bila kulala na tena bila malipo yoyote.

Mungu akubariki na kukulinda.

Ntayalinda tena matoke ya ushindi wako October2015

Kwa jinsi ninavyomuamini,nimehamia Jimboni mwake na kuishi. Halima Mdee ni mwanamke wa shoka
 
Last edited by a moderator:
kama hizi taarifa zina ukweli badi happy birthday kamanda
 
1978 to 2015... 37 years, jaman vijana tafuteni wenza kwa miaka hiyo bila ndoa sio vizuri!!!!

happy birthday kamanda
 
Hivi Halima hana mtoto? Maana miaka 37 si haba...anyway long live kamanda
 
Back
Top Bottom