Happy Birthday gorgeousmimi

Waoooooo my dada, gorgeousmimi!Heri ya kuzaliwa,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema,Mafanikio na baraka tele kutoka kwa Mungu!

Sijui nikupikie chapati za kumimina(chapati maji ehee).?
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako gorgeousmimi!

Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha,afya njema, fanaka na baraka tele.
 
Shurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated πŸ™‚i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!Two words of wisdom advice can make a change on someones life!Thnx for all members of JF who are here on this thread to celebrate this special day with me,ahsanteni kwa dua zenu na birthday wishes mlizonitakia! Long live Jamiiforums!nitakuwa si mwema wa fadhila kutokumshuru mungu kwa kunipa uhai,uzima,afya njema na kila neema kwenye maisha yangu,bila kumsahau mama gorgeousmimi kwa uchungu aloupata siku hii ya leo!Ahsante wapendwa wote
Vaislay tinna cute Eli79 miss neddy The Boss Himidini Ablessed BAK Kim nana Fixed Point Kennedy utafiti mwekundu KhantweEvelyn Salt Sandeni sungura1980 watu8 ICHANA Rogie Nokia83 Mtoto halali na hela figganigga!
 
Last edited by a moderator:

ua welcome gorgeousmimi
 
Last edited by a moderator:

Where is the party tonight?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…