Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Shunie nashukuru kukufahamu ntaenda mwenyewe


hivi mie na we si tunataniana mara nyingi jaman kaka bonny
Shunie nashukuru kukufahamu ntaenda mwenyewe


hivi mie na we si tunataniana mara nyingi jaman kaka bonnyMimi ni nyumba ndogo yake mkuu!......kwani wanawake hawaruhusiwi kuwa na nyumba ndogo?Kumbe mkeo dah kuna mzee mmoja asubh alisema ni mkewe pia dadekiii
hajielewii kabisaa bonitoo huyuu!!kanishinda tabia jamaan
Mie sitoi offer kwa wake za watu makinika yangu bado nayapenda

Am sorry mkuu ila kuanzia leo jua kuwa mimi ndo nyumba ndogo ya dada yakoAhaa hapo sawa ungesema sasa kama wewe ni nyumba ndogo
unanisingiza bonyyy...Kumbe Nan kuna tetere wawil walikuja Leo umewapeperusha

C Mliwekeana ahad mpka kifo kitakapowatengansha nenden wenyewe mkatenganishwe

mishikaki tu hakuna namnaa....Ahahha nimemskia ila hapo ninapopenda sijui kamaanisha nini sijamsoma bado