Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Woiiiiatakuwish sana na jikeki utalipata pia...!!!




labda tuanze kudai cake kabla siku haijafika si kwa bonny ninaemjua
Woiiiiatakuwish sana na jikeki utalipata pia...!!!




labda tuanze kudai cake kabla siku haijafika si kwa bonny ninaemjuaumeanza lini uchonganishiii?Endeleen kujidanganya
bado watu watakuwish tuu!!dunia haina siriHakuna ukweli wowote jamaan siku yangu ya kuzaliwa naijua mwenyewe tu
Nawaza tu hapa ujue alivyosema geni eti na cake utanunuaHa ha ha kwahyi unataka kusemaje shunie


Nimeielewa sanaNishampa location hajaielwa
haaa....haya mfanye mkujeUtawaponza wenzio shaur yako
Acha niendelee kujidanganya mkuu hamna namna maana kibiti bila FFU hakuendeki

mmnhhhh!!!!bonnyyyyItafanyikia sinza kama unelegea goba hii kona ya chalinze kabla hujafika njia panda ya himo kwenye ile njia yya vumbi ya kuelekea malinyi
geni ukujeee
lione liboniiiiUmepajua enhee
hebu tuache bonyyKwendraaaaa kisa cha kutupeleka huko vumbini niniii
Hivi itakuwa cake ya ngapi hiyo toka uanze kuninunuliaNtakununulia mpka Ile.unayopenda cake kitu gan kwan

ningekuwa sikujui sawa kaka bonny