Happy Birthday Kamanda Mbowe kwa kutimiza miaka 54. Mungu akujaalie umri mrefu zaidi ili uweze kutuongoza vizuri katika haya mabadiliko ya kumtoa Mkoloni mweusi.
Naamini kwa umri wako huu wa miaka 54 ambao ndio umri wa Uhuru wetu utakua umeshuhudia jinsi tulivyobaki nyuma kimaendeleo kulingana na miaka tuliyonayo. Hivyo wewe kama Freeman (Mtu-huru) kwa kushirikiana na Wana-UKAWA wengine tunakutegemea uwe chachu ya Uhuru wetu Watanzania.
gamba limepita hilo tuliacheni tu lipite.
swissme
Watanzania ndiyo hivyo tena wameamua kuchagua mabadiliko wewe gamba utabakia kutokana tu!Happy Birthday Mla Matapishi Mkuu,mpiga Dili Mkuu Wa Ukawa.Mungu Akupe Miaka Ming Zaidi Kushuhudia Chama Chako Kinavozama Kwa Madili Na Matapishi Yako Unayokula....
next President 2020-2030
Watanzania ndiyo hivyo tena wameamua kuchagua mabadiliko wewe gamba utabakia kutokana tu!
Happy Birthday Mla Matapishi Mkuu,mpiga Dili Mkuu Wa Ukawa.Mungu Akupe Miaka Ming Zaidi Kushuhudia Chama Chako Kinavozama Kwa Madili Na Matapishi Yako Unayokula....
Aisee !!!
Watu bhana!!!!
Yaani ukilala chuki ukiamka chuki daah!!