Happy Birthday Fixed Point

Thank you so much my dear friend Ashadii....
Thank you for the wishes......
 
Enjoy your day!
First drink on me..:A S wink:
Thank you my dear......
Unatakiwa kulipia a bottle of drinking water....... Asante sana kwa offer ya kinywaji.
ahadi ni deni, lol!
 
Swali la msingi sana hili mwenyekiti wangu Baba V......

Happy birthday rafiki Fixed Point!
rafiki mimi nimeshangaa tu wewe na mwenyekiti badala ya kuandaa pa kunywea ndovu na kunikaribisha birthday girl mnaniuliza mimi, kweli jamani?
Asante kwa birthday greetings
 
Mtani hata usijali, nilimshtua mlongo wako snowhite awe ndio besidei gelo kwa niaba yako...lakini keki yako alikula yoteeee na mimi nkamdoea kidoncho tu
ha haaaa, mtani nitawadai keki yangu.....
wewe na huyo mtani wako
 
rafiki yangu BAK....
asante sana kwa kuamua kutafuta characteristics zangu....... nakubaliana na nyingi hapo zinanihusu pia, ingawa kuna nyingine ni unlike me..... anyway, siyo libra wote wana tabia zote zinazofanana.
Asante sana pia kwa birthday song.
Barikiwa mno rafiki
 
Last edited by a moderator:
Uwe na siku njema ya kukumbuka siku yako ya kuzaliwa Fixed Point

Mungu aendelee kukutetea na kukupigania ktk yote

Hongera Sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…