M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 May 6, 2013 #1 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 May 6, 2013 #2 @Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame: Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano Bila shaka hawajasahau "MKONO"
@Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame: Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano Bila shaka hawajasahau "MKONO"
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 May 6, 2013 Thread starter #3 Cathode Rays said: @Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame: Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano Bila shaka hawajasahau "MKONO" Click to expand... Wao wanasherehekea ubingwa na sisi tunajipongeza kwa Five Nil wetu kutimiza mwaka mmoja, hicho kipigo hawawezi kusahau na kwa technolojia hii tutakuwa tunawakumbusha mara kwa mara.
Cathode Rays said: @Masuke naona unataka wajamaa waje na hasira hapa :flame: Anyway, ni mabingwa hawa bana ngoja tuwape respect japo watano Bila shaka hawajasahau "MKONO" Click to expand... Wao wanasherehekea ubingwa na sisi tunajipongeza kwa Five Nil wetu kutimiza mwaka mmoja, hicho kipigo hawawezi kusahau na kwa technolojia hii tutakuwa tunawakumbusha mara kwa mara.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,538 Reaction score 76,495 May 7, 2013 #4 5 yanataka kujirudia ya mwaka 197...... Ni maneno ya mtangazaji siku ya mechi. Teh teh kwi kwi kwi ila Yanga ni Bingwa mwaka huu ila Simba aliandika Historia ndeeefuuu sana.
5 yanataka kujirudia ya mwaka 197...... Ni maneno ya mtangazaji siku ya mechi. Teh teh kwi kwi kwi ila Yanga ni Bingwa mwaka huu ila Simba aliandika Historia ndeeefuuu sana.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 May 7, 2013 #5 Wanasema tunakula saba safari hii na timu yetu ya madogo, ngoja tuone