Happy Birthday Firstlady & nathJohn

Aisee Afroo nani alikudanganya sikupendi tena? We ni kajukuu kaziwanda kangu, hakuna anayeweza kupokonya nafasi yako.

Hebu njoo huku chumbani

haka mie chumbani siji tena
wewe mtume yule njiwa aniletee
habari kama unamatatizo kwani
naona siku hizi wafuata wajukuu wapya na mie umeniweka pembeni..
ukiwa na tatizo tu ndo wanitafuta..
haya babu ..
wanifanya mie ni :A S 20::A S 20:
na TF ndo hanitaki tena mie na shida tu..
mmmhh sijui na balaa gani
 
Kwakwl nashangaa nimerusha post tatu tofauti sizioni,au cm yngu inamatatzo.moja ilikuwa yaenda kwa Regia,bigrita na babu matiti
 

asante mpenzi kwa wishes nzuri nami nakupenda sana.zaidi nimefurahi na kufarijika sana kuhusu hiyo pati ya jumamosi .nami nawaomba wadada wa jf wasikose maana ntafurahi sana kuwaona na itakuwa ni faraja ya aina yake kwangu .bytheway kuhusu bigrita km ananguvu ya kukaa katikati ya wadada we mkaribishe tu.
 
Eheee! Sasa hapo unaongea! Fl, mm ni dereva tax wako jmosi to Regia's residence.

niko tayari uwe dereva wangu siku hiyo ila kwanza nataka kuanzia kesho uwe unanifuata home na kunipeleka mjini na kunirudisha ili nipime uzoefu wako barabarani.ni pm nikuelekeze kwangu
 
HAPPY BIRTHDAY DEARESTS:hungry:!MUNGU AWAZIDISHIE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…