Happy Birthday Firstlady & nathJohn

Aisee umezaliwa siku moja na last born wangu....kumbe we katoto namna hii? Mbona unayaweza makubwa kuliko umri wako?

Hebu uje huku chumbani nikupe busara zangu.
 
Aisee umezaliwa siku moja na last born wangu....kumbe we katoto namna hii? Mbona unayaweza makubwa kuliko umri wako?

Hebu uje huku chumbani nikupe busara zangu.

hahaha ..babu unataka kunipa ukaguzi?makubwa hayana umri babu wengne tumekulia vijijini.teh..ni pm km vp nikakutabirie kabisa
 
hahaha ..babu unataka kunipa ukaguzi?makubwa hayana umri babu wengne tumekulia vijijini.teh..ni pm km vp nikakutabirie kabisa

Unataka utabiri kama utakaguliwa au hutokaguliwa?
Samahani......hebu katoe go ahead kule kwa RM kuhusu mm kuwa mwakilishi wa wakaka kwenye party yako na dadaz wa Jf.πŸ˜›opcorn:
 
Wewe ya kwako ilikuwa juzi ulikuwa BORN AGAIN lol!!!

mmhh unaanza uchokozei ae..
haya we anza mie ntamalizia hahah lol
kuna thread nilianzisha ya kuomba msamaha weye hata hukujibu..
lakini ikija ya kutonitakia mema we wa kwanza ...lol:sick::A S 20:
 
Aisee umezaliwa siku moja na last born wangu....kumbe we katoto namna hii? Mbona unayaweza makubwa kuliko umri wako?

Hebu uje huku chumbani nikupe busara zangu.

Aisee itabidi umpeleke last born kwa dada RM siku ya jumamosi, sababu nyingine hiyo ya jidume kuruhusiwa kushiriki Kitchebirthday party!
 
ila naona hizi birthday wishes mahali pake ni Advice and Complaints Forums badala ya humu

Heri ya kuzaliwa baby gal & baby boy

nimeweka hapa ajili ni wapenzi wetu wa MMU..
usijali itahamishwa leo jioni...
 
sante sana mkuu nilikuwa nasubiria uwamwagie mashahiri
:clap2::clap2:
 
nimeweka hapa ajili ni wapenzi wetu wa MMU..
usijali itahamishwa leo jioni...

Huna haja ya kuhamsiha humu humu panatosha...mbona maxence anauliza maoni ya watu juu ya marekebisho ya JF kwenye jukwaa la siasa
 
Hongereni nyie watoto mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa

Babu anawapendeni na anawasubiri huku kuwakagua

hahahah lol
mie nilidhani ukaguzi ni mambo ya mwaka jana babu...
 
tunafurahi sana FL kusikia umefarijika
my dear usijali 1st man labda kaenda kukuandali vitu nono..
hahah lol
twapenda kusema hongera sana my dear
 
Aisee umezaliwa siku moja na last born wangu....kumbe we katoto namna hii? Mbona unayaweza makubwa kuliko umri wako?

Hebu uje huku chumbani nikupe busara zangu.

mmmmmmmmmmmhhhhhhhh:coffee::coffee:
 
Huna haja ya kuhamsiha humu humu panatosha...mbona maxence anauliza maoni ya watu juu ya marekebisho ya JF kwenye jukwaa la siasa

asante sana my dear ...
ningeweka kule watu wengi wasingiiona..
na FL ni wa hapa ndo maana nikaweka hapa my dear ..
asante aeee:first:
 
happy birthday people, njooni chukuweni keki ya siku kuu yenu ya kuzaliwa
 
:clap2: :clap2: :clap2: :clap2::clap2:
πŸ˜›opcorn:πŸ˜›opcorn:πŸ˜›opcorn:
Happy Birthday
 
asante sana my dear ...
ningeweka kule watu wengi wasingiiona..
na FL ni wa hapa ndo maana nikaweka hapa my dear ..
asante aeee:first:

Birthday and any other wish is about love, so here is where they belong....keep the flame burning AD, halafu muwe makini sana na huyu mzee anayejiita asproo, si mtu mzuri huyu na maukaguzi yake!
 
Hivi leo ni jumangapi?

Birthday nyingine zina makusudi na roho mbaya sana
 
asante sana mpnz kwa wishes zako nzuri nami nakupenda sana.nasubiria kwa ham hiyo pati na nimefurahi sana.wadada wa jf msiache kuja aisee,ntafurahi kuwaona nyote.bytheway km bigrita atakuwa na nguvu ya kukaa katikati ya wadada basi mkaribishe na yeye pia
 
Birthday and any other wish is about love, so here is where they belong....keep the flame burning AD, halafu muwe makini sana na huyu mzee anayejiita asproo, si mtu mzuri huyu na maukaguzi yake!

yaani hapo umenena mkuu
nataka nikupe senks 10 lakini nimeshindwa hahaah lol

mmmhh babu Asprin
yeye anataka kukagua wajuuku wake wa kike..
lakini siku hizi hanitaki tena sijui kwa nini..
na mimi ndo nilikuwa nafanya kazi zote za kumtafuna kucha
na kumlamba matongo tongo ..
hahahahah lol (duuhh hata mie nakinai nilicho andika ) hahahah lol
 
Aisee Afroo nani alikudanganya sikupendi tena? We ni kajukuu kaziwanda kangu, hakuna anayeweza kupokonya nafasi yako.

Hebu njoo huku chumbani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…