Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
- Thread starter
-
- #41
ha ha ha hio itakuwa made in sungura1980land lolAhsante sungura1980
Hiyo chapati ya kumimina made in wapi? Au mimi49 ndio mwenye hiyo recipe lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wow....shukraan sana keki nzuri nimeipenda kwa kweli
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Karibu bidada... Haya siku moja uitengeneze basi!!!
Ahsante sungura1980
Hiyo chapati ya kumimina made in wapi? Au mimi49 ndio mwenye hiyo recipe lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Love you too :busuYou deserve this honey and even more...Enjoy this special day 🙂Wow....nimeingia jf nakuta this big suprise
Habibty ahsante kwa kuni wish mie penda sana weye...
God bless you...kama nnavokuita one in a million katika watu ambao wananiweka happy nawe mmoja wao....u r amazing
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wewe mtoto farkhina umeushajua kuongea??!Watoto wa kizazi cha katiba mpya hawa!Happy birthday dada,Mungu akujalie baraka zake!
Mi ni wa bara(Tanganyika),huku twaziita hivo,za kumimina(kumbe eti ni chapati maji,za sukari au za chumvi,au za asali!)
Happy birthday farkhina mungu akubariki uwe na maisha marefu
Happy Birthday farkhina!
Tunakutakia maisha mema na marefu. Mimi na mke wangu Lady doctor twakupongeza kwa kuzaliwa siku muhimu kama ya leo ya pasaka.
Happy birthday my sister farkhina may God bless you and gives you more years.