Happy birthday Evelyn Salt!

Happy birthday Evelyn Salt!

Nawashukuru Airtel Tanzania kwa kunitakia heri katika hii siku yangu.....kesho nitanunua kreti la soda niende nalo airtel.

Happy birthday to me am turning 28 leo.
Mwaka jana ulisema ulikuwa na miaka 30 leo una umetimiza 28 mbona sielewi hizi hesabu.
 
Nawashukuru Airtel Tanzania kwa kunitakia heri katika hii siku yangu.....kesho nitanunua kreti la soda niende nalo airtel.

Happy birthday to me am turning 28 leo.
Mkuu sijaelewa ujue.

Mwaka 2013 ulikuwa unaadhimisha kutimiza miaka 24, lakini toka 2013 hadi 2025 ni takribani miaka 12 sasa lakini ndiyo kwanza unasema una miaka 28?😬🤓

Kwamba tangu 2013 hadi 2025 kwako wewe umeongezeka miaka 4 pekee?

Mkuu unanikumbusha pigo za Wema Sepetu yeye kila mwaka ana miaka 28 wakati mwaka 2006 nikiwa primary yeye alikuwa tayari Miss Tanzania kwa maana alishavuka miaka 18.
 
Trust me bro 😁
 
Mimi nikutakie tu heri ya kutimiza miaka 36 taslimu mkuu.

Umri huo wengi waliutamani lakini hawakubahatika kufika. Jivunie kutimiza umri huo mkuu.
 
Mkuu sijaelewa ujue.

Mwaka 2013 ulikuwa unaadhimisha kutimiza miaka 24, lakini toka 2013 hadi 2025 ni takribani miaka 12 sasa lakini ndiyo kwanza unasema una miaka 28?😬🤓

Kwamba tangu 2013 hadi 2025 kwako wewe umeongezeka miaka 4 pekee?

Mkuu unanikumbusha pigo za Wema Sepetu yeye kila mwaka ana miaka 28 wakati mwaka 2006 nikiwa primary yeye alikuwa tayari Miss Tanzania kwa maana alishavuka miaka 18.
Mtakie HBD tu kisha kausha. mna calculate miaka yake unataka kumuoa?
 
Nawashukuru Airtel Tanzania kwa kunitakia heri katika hii siku yangu.....kesho nitanunua kreti la soda niende nalo airtel.

Happy birthday to me am turning 28 leo.
Kumbe dogo em muwe mnatupa shikamoo

Happy birthday dead ishi vile Mungu anapenda unapendwa na mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom