Happy birthday Emmanuel

BL4

Member
Sep 24, 2012
69
27
0c7ee79e070064dd7142f293deae05fa.jpg


Ninapenda kumshukuru sana Bwana kwa kunilinda hatimae kuingia mwaka mwingine katika maisha yangu leo nimezaliwa mama yangu na Baba yangu walishangulia na kufurahi kuwa tumepata mtt mwanaume na jina lake ataitwa EMMANUEL
 
mkuu..!
si huwa nasikia nyie mashahidi wa Jehova hamsherehekei sikukuu zenu za kuzaliwa..!
 
Mimi nikafikri ni siku ya Furaha ya kuoga! Kumbe ni kuzaliwa?
 
Back
Top Bottom