Mungu akubariki na akupe maisha marefu zaidi ikiwa siku ya leo unatimiza miaka 66. Akupe na nguvu zaidi ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.