Mungu akupe maisha marefu zaidi, uweze kuwatumikia wana-CDM na taifa kwa ujumla.
sio rais huyu,ni mchumba wa josephine mshumbusiKagonga ngapi raisi wenu?
65 years old. 1948-2013Katimiza miaka ngapi???
sio rais huyu,ni mchumba wa josephine mshumbusi
hapo ndio kikomo cha bichwa lako kufikiri?Hakuna ambaye hajawahi kuwa na mchumba na hakuna atayetokea kukosa mchumba kabla ya kuoa au kuolewa labda kama ww unadeal na wanyama