Happy birthday @Dikembe

Happy birthday @Dikembe

Valentina

R I P
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,688
Reaction score
28,834
May every Birthday make you more stunning than you already are, more funny than you already are, more stylish than you already are, more generous than you already are and more creative than you already are. May each Birthday of yours notch you up one more level.

Happy birthday 2 u, happy birthday 2 u! u were born in d zoo' u were born in d zoo' with d monkeys 'n donkeys dats looks just like u!

Cc: ICHANA, Queen Horse, miss chagga, Mr Rocky, Eiyer, Ntuzu, Passion Lady, Rogie, kiwatengu, shansarie, Honey Faith, Nyani Ngabu beibe, Asprin karibu lakini hakuna pombe tumeokoka teh,bila kukusahau wewe Invisible leo itabidi tu uonekane kwenye hii party ya mwabepande
 
Attachments

  • 1438075769389.jpg
    1438075769389.jpg
    15.4 KB · Views: 163
  • 1438075907862.jpg
    1438075907862.jpg
    58.6 KB · Views: 135
Last edited by a moderator:
Happy Birthday dikembe . Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha ukaishi miaka ya ujana na uzee wako kwa furaha tele 'Valentina' huyu jamaa yuko wapi maana muda sana sijamsikia aise

Mkuu...

Nashukuru sana kwa salaam hizi za siku ya kuzaliwa.

Nilikua mafichoni ila nimerudi na nafurahi kuwaona mko salama kabisa.
 
Last edited by a moderator:
May every Birthday make you more stunning than you already are, more funny than you already are, more stylish than you already are, more generous than you already are and more creative than you already are. May each Birthday of yours notch you up one more level.

Happy birthday 2 u, happy birthday 2 u! u were born in d zoo' u were born in d zoo' with d monkeys 'n donkeys dats looks just like u!

Cc: ICHANA, Queen Horse, miss chagga, Mr Rocky, Eiyer, Ntuzu, Passion Lady, Rogie, kiwatengu, shansarie, Honey Faith, Nyani Ngabu beibe, Asprin karibu lakini hakuna pombe tumeokoka teh,bila kukusahau wewe Invisible leo itabidi tu uonekane kwenye hii party ya mwabepande

Thanks much Valentina umenitendea haki..

Halafu ndoo za maji hazitoshi naomba unipeleke Car wash nikapigwe na maji ya pressure.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu...

Nashukuru sana kwa salaam hizi za siku ya kuzaliwa.

Nilikua mafichoni ila nimerudi na nafurahi kuwaona mko salama kabisa.

Mkuu dikembe karibu sana
Heri ya siku yako sana hii

Huyu jamaa mchepuko alioupata safari hii ni noma...

Ulitumbukiza simu kwenye maji ndio ameenda kuiokota humo leo na akichezea inatupwa kabisa shimo la choo maana alizidi sana
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday dikembe mungu akupe maisha marefu mkuu.. Mpaka uwaone wajukuu zako,,,
Nina mashaka na umri wako kuna mtu kaniambia eti una miaka 57 mkuu teh teh teh teh kweli ww ni handsome babu..
 
Last edited by a moderator:
Ulitumbukiza simu kwenye maji ndio ameenda kuiokota humo leo na akichezea inatupwa kabisa shimo la choo maana alizidi sana[/QUOTE]

Mchepuko hatarii...nimeongezeka kilo 10 , nimepunguza $ 10,000 kwenye acount ...nataka nirudi kwa mama yeyoo sasa sialiahidi kwa shida na raha??
 
Happy birthday dikembe mungu akupe maisha marefu mkuu.. Mpaka uwaone wajukuu zako,,,
Nina mashaka na umri wako kuna mtu kaniambia eti una miaka 57 mkuu teh teh teh teh kweli ww ni handsome babu..
Hahahaa...

Unajua kuna faida kubwa sana ya kunywa kikombe cha babu wa loliondo. Nafanya positive growth tu ...age mate wangu wanakimbizana na negative growth .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom