Happy birthday - dena amsi

KIPI HUKIPENDI KWENYE AVATAR YAKE??? Halafu huyu jamaaa nikimualika sijui watu wataconcetrate kumuangalia tuuuu badala ya kusheherekea birthday ya DA??


Huyo hawezi kukosa Mjomba nilishamwalika tayari.
 

mwalimu wa lugha unaniangusha bana. Umekosa maneno hayo uliyoandika nini?
 
Hiyo tenda unanipa au vipi?
Unanzingua tu ntankuchenjie na mtoto wako
chezea tandale kwa mfuga mbwa?

wanaofuga mbwa wako wengi bana, mfuga mbwa wa wapi unapoishi???
 
Haya ngoja nipate mesage
Khaaa, siamini kama party limenipita hivi, hivi. DA tafadhali nkusanyie hayo masufuria niletee huku uani nianze kuyaosha... Nimemwagiza Husninyo akanunue stili waya simuoni mpaka sasa hivi, mpe tall sh 50 anletee nkanunue nyingine,...lol.



Happy birthday mpendwa, mungu akupe maisha marefu kama ya bi kidude!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…