Happy birthday Demiss Chamdekoo a.k.a Miss chitchat 2018

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,406
Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi.
1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu.

2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu?
Acha ushauri wowote nitaupokea na kuufanyia kazi.

3.Kwanza kabisa naomba wale wote niliowakosea kwa namna yeyote mnisamehe mimi ni binadamu hivyo sijakamilika.
Wale mlionikosea nimeshawasamehe siku nyingi sana na nimeshasahau.

4.Wanaume wote mlionitongoza wengine tukaishia njiani wengine tukajunjana na kubwagana kwa sababu mbalimbali naomba tuishie hapahapa naanza mwaka mpya na maisha mapya wale mliochukia naomba mfute roho ya kishetani wanawake ni wengi wamejaa tena wazuri kuliko Demiss nendeni mkajipoze nao roho.

5.Kwa wale mnaotamani mm nitoweke Jf kwa roho zenu mbaya tu hebu acheni basi hayo mambo hamjui kuwa mwenzenu Jf ilinipatia mwanamme wa maisha yangu Daktari sasa kwanini unichukie jamani?

6.Kama ninawakera niambieni leo nijirekebishe yawezekana nawaboa alafu hamniambii? Naombeni mfunguke nataka nianze mwaka mpya na mambo mapya.

7.Piah shukrani nyingi ziende kwa Baba na mama chamdeko kwa kunilea mtoto wao mpaka leo Mungu awabariki sana.

Mwisho:

Nimshukuru mme wangu Daktari mara ya Mwisho ulikuja Dodoma kuniaga ukaniambia mama watoto wacha niende Shule kuongeza Elimu zaidi ya Udaktari ili tuweze kuingiza pesaa zaidi maana unajua Mke wako napenda Mahelaaa Madorali
Nakupenda sana Mme wangu amini nakwambia Mwezi wa 12 tutakuwa wote tena nikutakie Masomo memaa Mkeo chamdeko nakupenda sasa Daktari wangu hakika ni kati ya Wanaume wachache sana waliopo Jf wenye upendo wa dhati.
Huangalii niliwahi fanya nini wala nn?
Umenitoa shimoni na kuniweka kwenye njia amini mimi na wewe mpaka kifo nakupenda sana Daktari wangu.


Demiss Mrs Jr.
IMG-20180703-WA0007.jpg
 
Happy birthday mdogo angu kipenzi..mwenyezi Mungu akabariki kila unapogusa na ukapate kibali cha kua baraka kwa wengine

NAKUPENDA SANA
Waoooh asante sana dada angu mzuri mzuri napenda sana unavyojiamini akiiii kuna siku ulinifurahisha sana yani nikakupenda bureee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom