Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
- Thread starter
-
- #41
Mwongozo umeshakamilika wewe ni kukaa mkao wa kula kaka Kaizer, yaani leo sipati picha.Happy birthday Damie, so nice una turn 16 sasa, baada ya miaka miwili utapata access ya lile jukwaa la wakubwa.........
nipe mwongozo leo Pub Alberto?
Mimi nimependa hiyo PM not allowed, tehe tehe tehe tehe khaaaaaaah.happy bday Damie :A S-heart-2:
Sababisha mkuu, vipi unauliza makofi kituo cha polisi, tehe tehe tehe.Vp, tunaenda?...semeni kama vipi tusababishe!
Happy birthday Damie, so nice una turn 16 sasa, baada ya miaka miwili utapata access ya lile jukwaa la wakubwa.........
nipe mwongozo leo Pub Alberto?
ha ha ha ningejua ningeongeza umri, yaani mpaka miaka 2 ipite tena ndo niweze kuingia jukwaa lile. Wasiliana na lovenes kwa mwongozo zaidi.
Vipi , ratiba ya mnadani itakuwepo, au ni pale NK tu?
happy bday Damie :A S-heart-2:
Happy Birthday DaMie niko busy hapa TRA ninalipia kontena lenye zawadi zako litokee leo leo ili niweze kukukabidhi.
happy birthday da mie... I wish a very long life that you forget even when it all started:-*
mmmh!
Mmh!
Mh!
He jamani DaMie hongera sana, miaka yaenda lakini naona kama warudi usichana ati! Hahaaa congrats!
happy birthday DaMie nipo mitaa hiyo nipe venue kamili,
furaha ya siku kuzaliwa kwakoo, furaha ya siku ya kuzaliwa kwako, furaha ya siku ya kuzaliwa DaMie.
ukianza kimba imba kwa sauti ya nne maana ndio itapendeza zaidi.
Enjoy the day sweetie
Vipi "Wenyeji " wanapatikana?...Dodoma pana baridi bana!..kama huna mwenyeji utaishia unazunguka ONE WAY hadi kukuche!kuanzia unique then pub alberto badae zaidi chakos usile uje tumbo wazi. Karibu sana.
teh teh usikose bac, c unapakumbuka pale pa mwaka jana