CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hepi besdei binamu...kuwa uyaone...!
Happy birthday to you
charminglady my sister, nikutakie umri wenye positive changes, kuwa na nguvu unapohisi kushindwa, shinda penye ushindani na shida, be the part of your own success...
make a histry before the history makes you... Make your family a better place to stay..
Happy birthday my dada....
nimeonelea tule pamoja hiki chakula cha watu wa economics, sio mbaya na wewe ukipitia...
Ahaaaa wakwetu! Happy birthday, ningejua mapema ningeenda kununulia keki flani maalum kule Buhongwa ni tamuuje! Ila ntakutaftia kitu.
Happy birthday charminglady, hebu njoo PM uninong'oneze umetimiza miaka mingapi?
Binamu mpaka sasa nimeshayaona acha tu...
ikiwa hivyo, mungu akupe umri mrefu, hekima na busara inshaallah....