Happy birthday Young Africans Sports Club

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
yanga-logo.jpg

HBD Young Africans Sports Club YANGAAAA
Mabingwa mara 27 LIGI KUU TANZANIA (RECORD)
MABINGWA mara 5 CECAFA KAGAME CUP
Mabingwa mara 6 LIGI YA MUUNGANO(RECORD)
Mabingwa mara 5 FA CUP(RECORD)
Mabingwa mara 2 TUSKER CUP.
Mabingwa mara 1 Mapinduzi cup
Mabingwa mara 6 NGAO ya JAMII(RECORD)
Robo Fainal ya kwanza kutoka TANZANIA CHAMPIONS LEAGUE AFRICA 1998.
Timu ya Kwanza kumiliki uwanja wake (KAUNDA STADIUM ingawa sasa hautumiki) na Jengo la ofisi inayotumika hadi sasa.
Timu ya kwanza kufanya mazoezi nje ya NCHI ni HUKO BRAZIL 1970s.
Timu ya kwanza kuwaalika Mabingwa wa Uingereza kucheza nao DAR(aston vila 1971)
TIMU PEKEE TOKA TANZANIA kuchukua kombe NJE ya ARDHI ya TANZANIA(Yanga ilichukua kombe la CECAFA nchin SUDANI 1993 na UGANDA 1999).Hakuna timu yoyote ya Tanzania ilishaenda nje na kuleta kombe
Timu ya kwanza kuleta Wazungu kucheza ligi kuu OBREN;JAJA;COUTINHO
Timu inayoongoza kumfunga MTANI wake mara 37 kwa 28.
TIMU YENYE JUMLA YA MAKOMBE MENGI KWA VILABU VYOTE AFRICA MASHARIKI NA KATI IKIWA NI TIMU YA TATU kwa AFRICA kubeba makombe mengi ya LIGI YA NDANI.
Ni YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB

HAPPY BIRTHDAY!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vyura popote mlipo njooni muitakie heri yakuzaliwa timu yenu huku...
maana uzi unaonekana kama umechacha akati humu mpo wengi na kwenye uzi wa updates game ya simba mlikua mnareply
 
Happy birthday ndala fc.. ila yule lamine moro kapewa mpunga kama sio na TFF basi na mo
 
Back
Top Bottom