mmh kweli Chichiem imechokwa.
No!@ndevumbili,am just watchng wanampatia mkwere sifa za kijinga.-what abt you utaparticipate
leo arusha kimya huwezi jua kama leo ni 5 feb kama ya miaka iliyopita..asubuhi walikuwa wanagawa t-shirt na kofia lakini mitaani watu hawajazivaa na niko uwanjani naona mtu moja anakofia ya ccm na vijana wawili wamevaa t-shirt..