Hahahahahaha..Hapa natumia mchina, nashindwa kuweka attachment. Baadaye nitaach picha yetu pamoja ya enzi hizo na ya sasa...lol!Jamani hadi naona donge hapa.
Happy Birthday Cantalisia.
Ila Rejao ungetupiamo tu picha twate twa awali ili na sisi tuwe mashahidi pale uliponena "You look more beautiful than the day i first met you"
ili tuanze rasmi mjadala.
Hahahahahaha..Hapa natumia mchina, nashindwa kuweka attachment. Baadaye nitaach picha yetu pamoja ya enzi hizo na ya sasa...lol!
Cantalisia, you look more beautiful today than the day I first met you. My love for you grows and grows with each passing year. Growing old with you is one of my favorite things to do. Every year with you is sweeter than the last. I am so lucky to have a wife like you.
Happy Birthday Honey!
Jamani hadi naona donge hapa.
Happy Birthday Cantalisia.
Ila Rejao ungetupiamo tu picha twate twa awali ili na sisi tuwe mashahidi pale uliponena "You look more beautiful than the day i first met you"
ili tuanze rasmi mjadala.
HBD Cantalisia. Rejao akishindwa kukushindilia kamimba, i know you know where to find ODM.
Sasa hv serikali ya Jf inakwenda na ushahidi.
Tupiamo ili tukushauri nini ale na nini asile,
Hatutaki yale mambo ya "Wakati anamtoa kwao alikuwa hana hata doa moja"
Ila,
Happy Birthday Cantalisia
HBD Cantalisia. Rejao akishindwa kukushindilia kamimba, i know you know where to find ODM.
Happy birthday Cantalisia.
Happy birthday..........
hahahahaha.... Asprin, now tupo busy tunajiandaa kuanza kulea!! Leo jioni usiache kuja kwenye party!!!HBD Cantalisia. Rejao akishindwa kukushindilia kamimba, i know you know where to find ODM.