mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.
@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita na mdogo wako Zion Daughter. Mwita Maranya karibu japo nisingependa uje maana umenikera kwa kuhangaika na nyumba ndogo kila leo. Bujibuji rafiki yangu karibu sana tufurahi na cacico unaweza kumpitia Kongosho. Wifi yangu wa ukweli Smile usisahau kumletea rafiki yangu zawadi. Mtambuzi asante sana (unajua sababu ya mie kushukuru, lol!). Rafiki zangu wote karibuni najua cacico hatojali mie kumletea wageni wengi. Wote akina @FP, gfsonwin, Kaunga, ASHA Dii - wewe usisahau kuja na msiri Wangi Kaizer. Mamndenyi naona ulivyonuna, karibu bana mie na wewe? Erickb52 wapiti na wenzako. amu, Bint.com na wengine wote karibuni sana. Mie nipo na cacico hapa tunashereheka.
Last edited by a moderator: