Happy Birthday Busy Signal

Happy Birthday Busy Signal

Anapita JF kusoma hizo wishes! Birthday za Babu zenu hamzijui let alone hata kuwatakia heri ila mmekomaa na na watu wasiowajua wala kuona wishes zenu smh
 
Anapita JF kusoma hizo wishes! Birthday za Babu zenu hamzijui let alone hata kuwatakia heri ila mmekomaa na na watu wasiowajua wala kuona wishes zenu smh
 
Attachments

  • 1453843133140.jpg
    1453843133140.jpg
    14.5 KB · Views: 44
Ukipata jina lake pls share nami niupakue faster!!
Kuna wimbo jamaa kaimba na Marcia Griffith - Love is Automatic dah ni Ragga ya kufa mtu!
Huo unaitwa unknown number (private call)
Ngoja nitafute huo wako
 
Kuna ngoma inaitwa Tempted to touch ameirudia ilifanywa zamani na Beres Hammond imetulia sana
 
Busy Signal last December Tu alipiga show Lilongwe na Harare, before hayo yalikuwaga machocho yangu. I wish I were there.
 
Mimi ngoma ya Busy Signal ambayo sichoki kusikiliza ni extended version (remix) ya OWL CITY - Between Eyes

Back
Top Bottom