Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,796
- 49,427
Pole sana miss,Mimi sifagilii kabisa wanaume sijui kumpenda mtu japo nimejawa na mapenzi tele ila nashukuru sana kuna watu wanaonifundisha upendo kwa kunipenda kwao! Mmojawapo ni huyu ndugu Bujibuji .
Nakushukuru kwa upendo wako, heri ya siku yako ya kuzaliwa.
ana mahaba sana ya dhati .ni msweet sana
Raha ya Pendo liwe live and exclusive.Mimi sifagilii kabisa wanaume sijui kumpenda mtu japo nimejawa na mapenzi tele ila nashukuru sana kuna watu wanaonifundisha upendo kwa kunipenda kwao! Mmojawapo ni huyu ndugu Bujibuji .
Nakushukuru kwa upendo wako, heri ya siku yako ya kuzaliwa.
hizi tuhuma vipi swetii??
Raha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.
Raha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.
Mapenzi mubashara ni hapa hapa jukwaani. Mimi na Miss Natafuta tunamaliza hapa hapa hadharani .Mfuate PM
Stress zinawasumnua, unacheza na kumuoa Mange halafu baba mkwe Gwajima? Mbaya zaidi unaishi ukweni na Gari unayotumia ni ya baba mkwe, halafu umefumwa unamgegeda house girl kwenye Gari .hizi tuhuma vipi swetii??
kumbe ana wanawake wengi huyu bwana eeh?Buji unaongea sana dahhh utadhani unatafuta vyeti vya Bashite
wanawake wa JF kutwa kumshobokea, mtashobokea na majinikumbe ana wanawake wengi huyu bwana eeh?
Maneno yangu machache ila yana upako wa malovi davi .Buji unaongea sana dahhh utadhani unatafuta vyeti vya Bashite
ahaaaa leo sijui tutalala wapiwanawake wa JF kutwa kumshobokea, mtashobokea na majini
Usirudi nyumbani leoMapenzi mubashara ni hapa hapa jukwaani. Mimi na Miss Natafuta tunamaliza hapa hapa hadharani .
Mimi ni kichwa cha familia, yeye ni shingo, ana amua shingo sasa igeukie Wapi .
Mtakufa na kiriba cha Roho hivyo
kumbe ni jamaa yako? nilikutana nae jana akanitongoza nikamkubaliUsirudi nyumbani leo