ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini bandugu
Olailotaige, Ulimola, Ughonile, Ulewedi, Shimboni, Kamwene,
mhm jamaninimechoka kuendelea na salamu maana sitaweza maliza
Tanganyika yote na Tanganyika zanzibar yooooooooooote. mweeee.
Ni asubuhi mwanana, iliyojaa utulivu na furaha tele machoni mwa wanaCC
inayoashiria mvuto usiopimika, ni pale ambapo ninapomkumbuka katoto
Ruttashobolwa kalipoiona hii dunia ya earth.
Nami bila ajizi pamoja namtakia kila la kheri, afya njema, na maisha mrefu
katika siku yake hii muhimu ya kukumbuka KUZALIWA KWAKE shem RUTTA
My cousin Passion Lady pokeeni zawadi hizi ndogo sana kwa ajili ya leo
na muwapange watu kwenye function fupi itakayofanyika Kilimahewa.
hii ni yake Rutta
2
Karibu ulimwengu maridhawa Ruttashobolwa

Last edited by a moderator: