Happy Birthday bestito Ruttashobolwa

Happy Birthday bestito Ruttashobolwa

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini bandugu

Olailotaige, Ulimola, Ughonile, Ulewedi, Shimboni, Kamwene, mhm jamani
nimechoka kuendelea na salamu maana sitaweza maliza Tanganyika yote
na Tanganyika zanzibar yooooooooooote.

Ni asubuhi mwanana, iliyojaa utulivu na furaha tele machoni mwa wanaCC
inayoashiria mvuto usiopimika, ni pale ambapo ninapomkumbuka katoto Ruttashobolwa kalipoiona hii dunia ya earth.

Nami bila ajizi pamoja namtakia kila la kheri, afya njema, na maisha mrefu
katika siku yake hii muhimu ya kukumbuka KUZALIWA KWAKE shem RUTTA

My cousin Passion Lady pokeeni zawadi hizi ndogo sana kwa ajili ya leo
na muwapange watu kwenye function fupi itakayofanyika Kilimahewa.

hii ni yake Rutta cake 1.jpg 2 cake2.jpg



3 cc.jpgBESTITO Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Habarini bandugu

Olailotaige, Ulimola, Ughonile, Ulewedi, Shimboni, Kamwene.
mhm jamani nimechoka kuendelea na salamu maana sitaweza maliza
Tanganyika yote na Tanganyika zanzibar yooooooooooote.

Ni asubuhi mwanana, iliyojaa utulivu na furaha tele machoni mwa wanaCC
inayoashiria mvuto usiopimika, ni pale ambapo ninapomkumbuka
katoto @Ruttashobolwa kalipoiona hii dunia ya earth.

Nami bila ajizi pamoja namtakia kila la kheri, afya njema, na maisha mrefu
katika siku yake hii muhimu ya kukumbuka KUZALIWA KWAKE shem RUTTA

My cousin Passion Lady pokeeni zawadi hizi ndogo sana kwa ajili ya leo
na muwapange watu kwenye function fupi itakayofanyika Kilimahewa.

hii ni yake Rutta
attachment.php
2
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Wakili Ruttashobolwa
Birthday come and then later gone!
Cha msingi ni our goals bein achieved?
Congra on bein even more experienced.
I'm not sure what you learned this year! Eventhough

I hope that you had fun by the way.
Jg
 
Last edited by a moderator:
Habarini bandugu

Olailotaige, Ulimola, Ughonile, Ulewedi, Shimboni, Kamwene, mhm jamani
nimechoka kuendelea na salamu maana sitaweza maliza Tanganyika yote
na Tanganyika zanzibar yooooooooooote.

Ni asubuhi mwanana, iliyojaa utulivu na furaha tele machoni mwa wanaCC
inayoashiria mvuto usiopimika, ni pale ambapo ninapomkumbuka katoto Ruttashobolwa kalipoiona hii dunia ya earth.

Nami bila ajizi pamoja namtakia kila la kheri, afya njema, na maisha mrefu
katika siku yake hii muhimu ya kukumbuka KUZALIWA KWAKE shem RUTTA

My cousin Passion Lady pokeeni zawadi hizi ndogo sana kwa ajili ya leo
na muwapange watu kwenye function fupi itakayofanyika Kilimahewa.

hii ni yake RuttaView attachment 107254 2 View attachment 107255



3 View attachment 107256BESTITO Ruttashobolwa

Kumbe tumezaliwa siku moja!! #TeamLeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom