Happy Birthday my binamu Passion Lady. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani na ukaishi kuwasha mishumaa mia na moja
happy Birthday once again my binaamu Passion Lady
cc Ntuzu (anayeongoza kwa vibuti), Tized, mwallu, miss chagga, miss neddy, Tized
View attachment 166625
ahahaha Mr Rocky mwache kaka yangu apumuwe
we mkeo nani?
miss chagga hebu njoo huku umjibu mwallu eti anauliza police huwa kuna makosi
Kaka yako Ntuzu mwenyewe hajatulia
unamsingizia bure kaka yangu..
usimharibie twafwadhali...ndoa yako inavunjika lini?
haina mpango wa kuvunjika maana imejengwa kwenye msingi imara
miss chagga hebu njoo huku umjibu mwallu eti anauliza police huwa kuna makosi
Kaka yako Ntuzu mwenyewe hajatulia
mwallu wewe kaka yako huyu Ntuzu nimemvumilia sana uzuri sikuwahi mpa papuchi... anapenda wanawake hasa wenye makalio makubwa akikatiza tu shingo yake nayo inaenda ni hatari sana huyu kijana .... afadhali tuameniacha kwa sababu roho yangu ilikuwa juu kama antena.... Mr Rocky barafu wa moyo wangu... moyo wngu umetulia kabisa hauna presha

Asante sana my dear miss chagga mwambie na huyo mwallu aache maneno mengi
Huyo kaka yake mwallu anayetangatanga kila akiona kiota anatamani akae humo huyo Ntuzu achana nae kabisa
Love you sana my baby miss chagga
cc Tized

miss chagga unamsikiliza mwallu au unanisikiliza mimimmh Mr Rocky njoo thibitisha haya
miss chagga unamsikiliza mwallu au unanisikiliza mimi
Mimi na wewe ni mpaka kifo hakuna wa kututenganisha wataishia kuona meli yetu ikiambaa mbaa na kupiga makasia na kuendelea na safari yake kwenda kwenye mji wa wapendanao ilhali wao haswa mwallu na kaka yake Ntuzu wanahangaika mwallu huyo kaka yako Ntuzu mwambie wazi kuwa huo mti aliotua huo mwambie bado ni binamu yangu na akileta mzaha tutakuja familia nzima kumtoa huko
​thanx alot wifi ake pacha angu!!happy birthday my friend
asante sana besthappy birthday Passion Lady!
asanteeeee Mentor!!Happy belated bithday Passion Lady!