Happy Birthday Bestito Passion Lady

Happy birthday lovely sister... Dah ndio natoka kuwaandalia wageni chakula...


Haya pokea hii cake wakati nakuandalia mapochopocho mengine.....

 

Shukrani kwa kuniita, nilikuwa naandaa hiki chakula kwa ajili ya wageni waalikwa waliofika kujumuika nasi katika hii sherehe ya kuzaliwa kwa binti mrembo na mzuri katika familia ya Mr. watu8 na mummy measkron...

 
Last edited by a moderator:


Ukumbi ndio ushapendeza sasa, tunawakaribisheni nyooote!!!
 
Hapa nzunae bana...kaka yetu Ntuzu alifanya mambo....ila yalivoenda....lady f mtata kweli ...alimkana kaka yetu hadharani


Ameshatulia Yule! Waongo walitaka kumjaza maneno Eti kwamba mi niko na SACCOSI
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…