Happy birthday bestito Ntuzu

Happy birthday bestito Ntuzu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini mabestitooooo

Kila kitu kina majira yake
kuna majira ya kupanda na majira ya kuvuna
yako majira ya kujipendeza na yako majira ya kutojipendezesha
kuna majra ya kuwa nacho na kuna majira ya kutokuwa nacho
vilevile kuna majira ya k ufurahia na kuna majira ya huzuni
YOTE HAYO NI MAJIRA NA NYAKATI TOFAUTI KWA MWANADAMU
HATUNA BUDI KUWA KATIKA HALI ZOTE ZA MAJIRA YOTE

Hivyo bestito ungana nami kufurahia majira na nyakati nzuri kwetu
leo kwani mwenzetu kipenzi chetu na rafiki yetu Ntuzu leo ni majira yake
Ni siku special kwake kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Tuwe pamoja naye best wetu kumtakia heri na afya njema kwa siku hii muhimu!

pokea kazawadi haka kadogo ka kumbukumbu ya kuzaliwa kwako

oo.jpg

To your my luv Ntuzu

HAPPY BIRTHDAY BESTITO NTUZU

I

Attachments

  • EENTUZU.jpg
    EENTUZU.jpg
    19 KB · Views: 154
Last edited by a moderator:
Kila la kheri Ntuzu Mungu akujalie heri na fanaka tele!!
 
Last edited by a moderator:
Habarini mabestitooooo

Kila kitu kina majira yake
kuna majira ya kupanda na majira ya kuvuna
yako majira ya kujipendeza na yako majira ya kutojipendezesha
kuna majra ya kuwa nacho na kuna majira ya kutokuwa nacho
vilevile kuna majira ya k ufurahia na kuna majira ya huzuni
YOTE HAYO NI MAJIRA NA NYAKATI TOFAUTI KWA MWANADAMU
HATUNA BUDI KUWA KATIKA HALI ZOTE ZA MAJIRA YOTE

Hivyo bestito ungana nami kufurahia majira na nyakati nzuri kwetu
leo kwani mwenzetu kipenzi chetu na rafiki yetu Ntuzu leo ni majira yake
Ni siku special kwake kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Tuwe pamoja naye best wetu kumtakia heri na afya njema kwa siku hii muhimu!

pokea kazawadi haka kadogo ka kumbukumbu ya kuzaliwa kwako

View attachment 166819

To your my luv Ntuzu

HAPPY BIRTHDAY BESTITO NTUZU

I

Thx so much Ma lv ladyfurahia

Binamu Yako Mr Rocky ajinyonge tu sasa!
 
Last edited by a moderator:
huu mwezi wa neema sana naona watu wote tumezaliwa mwezi huu kuanzi Passion Lady Ntuzu muuza ubuyu n.k tena kwa siku zinazokaribiana kweli this is birthday month/week happy birthday to all of us
 
Last edited by a moderator:
Nkwela Ntuzu kumbe ndo upo na bestito wangu ladyfurahia!??

Basi hapo najua hakuna litakaloharibika kwa siku ya leo..nikutakie heri na fanaka, siku hii na nyingi zijazo.

ENJOY BRODA!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom