TANGAZO MUHIMU KWA WANA MMU WOTE::: .Wana MMU leo ni siku yangu ya kuzaliwa duniani nasherekea happy birtday nilitaka nifungue uzi kuwafahamisha ili tusherekee kwa pamoja lakini kila niki submit uzi unafutika hautokei humu .Naomba mtu mwingine anaye nitakia mema anifungulie uzi akisema HAPPY BIRTDAY SAYANSIKIMU leo nafanya sherehe nataka tusherekee kwa pamoja.