ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Heri ya kuzaliwa mkuu..
Mungu ampe maisha marefu ya furaha na amani akabarikiwe aingipo na atokapo.
Happy birthday @c6
tahnks sisHappy birthday mdogo wangu @c6
Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka tele
thanks everlenkHappy birthday @C6.
hahahhaha HARUFU eti nikue kama mgomba thats made my nightC6 Ukue kama mgomba mnazi unachelewa, kila la kheri
leo system inanionea wivu haitaki kumention id yangu, soon ntaibadili aseeHivi C6 mbona ID yako haimensheniki...???
thanks mwallu anhaaa kumbe ndio maana ukaniambia unajua kumbe ulipita hukuhappy birthday to you
thankshappy birthday @c6
tahnks Eli79Happy birthday kwako!!
Ila watu wengine ni maarufu sana humu jamvini siku yao ya kuzaliwa ikifika mpaka wafunguliwe uzi ,wasipo onekana humu jamvini wanafunguliwa uzi kuuliza fulani yupo .Si jui ni lini na mimi nitakuwa maarufu humu
hahahhahah thanks kakaHappy birthday kwa mpangaji wako C6 aliyedumu tumboni kwako kwa miezi tisa na hatimaye kahama salama.Mungu naomba ampe maisha mema yenye heri na baraka.
Shuguli ipo wapi kwani naona boda boda zinaisha hapa ili nipige Nshikaki kwani sina naauli ya kutosha nije nikazie swaumu.