Happy birthday babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,643
3,299
Ningependa kuchukua nafasi hii na kusheherekea pamoja nanyi siku ya kuzaliwa kwangu,,,pia sio mbaya kama kuna mtu nimezaliwa nae siku moja...8th,feb.

Happy birthday mimi na kwa wale niliozaliwa nao siku moja.
 
Happy Birthday Mkuu, may this additional year to your life brings wisdom, joy, good health and happiness.
 
Happy birthday mkuu,ishi maisha marefu yenye furaha na mafaniko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom