Happy Birtday King'asti

Mie niko ki_royal family, ban haitakaa itokee kwangu my dear. I would rather shoot my mouth (read fingers).
Thanks for them wishes. Hongera kwa ndoa mpya, lol
Happy bday........


Naona umekimbia ban na burn mwaka mzima
 
Mkuu beibe mzaliwa mbona umemtandika gari JEKUNDU? Dah! Haya bana kwa raha zenu.
 
Hahahah! Watu wengine wajanja sana. Mi najua birthday ya King'asti ni kesho kutwa. Sijui kamhonga nini Paw kairudisha nyuma siku mbili. Anyway, happy birthday King'asti. Mungu akujalie ufike salama keshokutwa nikuimbie kale ka wimbo ketu.

naskia wewe ndo ulikuwa mzalisha siku mama anajifungua ndo maana ukajua tarehe lol! hngera mwaya King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Jamani, mbona sikuiona hii? Happy Birthday King'asti!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Afu wewe ujue nna hasira zako na nusu? Ukimwona AshaDii mwambie nna hasira zake na robo. Mmeniuzi nyie. Muulize ADI anajua... Subiri....

Pole sana! AshaDii kakuudhi nini? Najua mimi umenikasirikia by extention tu, sijkukosea. Lazima atakua kakukosea yeye.
 
Sichezi tena na nyie.

Hahahahaha, haya bwana! Mi sijafunga macho usiku kucha, saa hizi ndio napata ka-usingizi kwambali. ngoja nijipe chance ya kulala. Happy August 21st, sikukuu ya marafiki kusameheana kabla hata ya kutaja makosa.
 
Hahahahaha, haya bwana! Mi sijafunga macho usiku kucha, saa hizi ndio napata ka-usingizi kwambali. ngoja nijipe chance ya kulala. Happy August 21st, sikukuu ya marafiki kusameheana kabla hata ya kutaja makosa.

Nimekusamehe. Ila ADI sijamsamehe. Na nikimsamehe sitamsahau. Na asicheze tena na sisi. Sema SUUU!
 
Darling King'asti...

I guess this year my pal alie kaka yangu wa

ukwee pia beat me to it! Paw I am green with envy... I want a car too.

As much as nishakutakia, sio mbaya if I do it again au sio? hahaha!

Happy Birthday Wifi yangu, Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema

akujalie maisha marefu yenye mafanikio mema

:flypig:"Pamoja Saana" :flypig:​
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Pamoja na ugeni wangu naungana na wenyeji woote kukupongeza sana kwa bd yako.Mungu akulinde ili ufikishe miaka 250!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…