Amen D.AHeri ya kuzaliwa kwake.
Cute umefikisha miaka arobaini na ngapi?
Yesu akutunze Madame!
Hahahahahahhahahahhaahhaa Mama yangu ana 45 sasa Mimi nitakuwa na mingapi



Amen D.AHeri ya kuzaliwa kwake.
Cute umefikisha miaka arobaini na ngapi?
Yesu akutunze Madame!



Nitakugawia kidogo.Hahahahahaha! Hujambo we binti??? Baraka ziwe kwangu au kwake???

Bora umwambie

Haya maneno yanasemwaga kabla ya kuogeshwa lakiniHalafu mambo ya kuogeshana na kumwagiana mimaji imepitwa na wakati.
Thank you young sis.





Asante mkuu. Huyo ananizeesha tuu.we muache cute b mtoto mdogo.. wewe binti yako wa kwanza ana umri gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiba thank you very much.
Oooooh. Big AMENMungu azidi kumbariki huyu mdau ili tuzidi kuneemeka na uwepo wake
Thank you Mr MillerHappy birthday cute b
Amen , thanks so much
Nukta gani mkuu? Ukimaliza nishirikishe.Cute b ,cute b.....najaribu kuunganisha nukta...anyway happy birthday madame B
Gracias a mi hermano. Esto significa mucho.Feliz cumpleanos!
Amen!! Keki siwezi kukunyima.


