Happy belated birthday Cute B

Happy belated birthday Cute B

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo kumbukumbu zako sio, huyo alikuwa.
Sasa ninae waubani wa pekee MO11
Hahahahaha kumbe ni zilipendwa.
Tatizo hukunitambulisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
miaka mingi mama P....Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda, akutimizie malengo yako ili birthday zako zijazo ziwe zakukumbukwa na zenye furaha,afya na mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom