Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,530
- 81,257
Mwenyewe nimehisi hivyo



Mwenyewe nimehisi hivyo



Natamani iwe kesho yaniYaani nishaanza kukusanya mistari, nataka yawe very sweet, simple and very precise.
Utashtukia umefika tu, sema hii thread ya dada yako imetulia sana.


halafu umejuaje ni Dada yangu? Au vile nina nyota ya kuitwa dogo

Wewe ngoja nikutafute tuonane uache kuniona mdogoNimehisi tu, JF assumptions nyingi. Wewe na yeye mnaweza kuwa same age, ila huwezi kuwa unamzidi.


Thanks bro! Much appreciatedConglat to you too.
You know what I mean.
Ubaya huoooooNawaambia. Kwamba umesema kwamba.......tena naongeza na chumvi. Ili ukija nyumbani wagome kukupa hata maji.
Hebu twende piemuUmeelewa lakini?
UmbeaaaaaEnheeee, ???????????
Thanks loveHeeey "some of OTHERS" except you!
Kama kawa broo. Mikandamizo inaendeleaBoss nipo...vipi hali aisee ?
Enough broo!Niko very okay.
This came as a surprise to me, wish I had known before.
All is well so far.
Thank you mkuu.