Siwezi kukupuuza. Wanaume ni wanaume[emoji23][emoji23].
Kati ya maneno 10 watayoyaongea 8 ni ya uongo.
Nimekuamini Khantwe.
Siwezi kukupuuza. Wanaume ni wanaume[emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23] naomba uende na mimi ila Kaboom usimwambieSi unajua mchaga mbele ya hela hashindwi kusema amezaliwa miaka 2000 iliyopita?
Rafiki yangu siji naye Khantwe kasema Mume wa mtu sumu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanya busaraSiwezi kukupuuza. Wanaume ni wanaume[emoji23][emoji23].
Kati ya maneno 10 watayoyaongea 8 ni ya uongo.
Nimekuamini Khantwe.
Kwani wewe umecheka nini?? Au umeelewa kuzama wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]Kwani wewe umecheka nini?? Au umeelewa kuzama wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Will forever be there for you!
Ndugu zangu hawana hizo "r" badala ya "l" bhana.Daaah ndugu zako wananifunza vibaya
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nawaambia[emoji23][emoji23]. Kwamba umesema kwamba.......tena naongeza na chumvi. Ili ukija nyumbani wagome kukupa hata maji.Usiwaambie kama mimi nimesema hivyoooo
Sawa sawa😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23]unajua bhana. Rudi uniambie.
Eti hali chakula kikashuka ananiwaza Mimi tuu
Akianza kukung'ang'ania? Nikusubiri au niondoke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uende na mimi ila Kaboom usimwambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Enheeee, ???????????Conglat to you too.
You know what I mean.
Hawezi we twende tuAkianza kukung'ang'ania? Nikusubiri au niondoke [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Worry not, its ur day anything you wish dear[emoji23][emoji23][emoji23] jamani. Asante sana toxic9.
Ulete na keki sasa.
Teh teh..Akili kama za dada ako..Shem mi nikifanikiwa na we neema inakufikia..Njoo nae banaSi unajua mchaga mbele ya hela hashindwi kusema amezaliwa miaka 2000 iliyopita?
Rafiki yangu siji naye Khantwe kasema Mume wa mtu sumu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini mkabaji akakabwa? [emoji41]Basi saa mbili uje. Uwe makini usikabwe.
Zako ntakuletea home..Size gani tena?[emoji23][emoji23][emoji23] naomba uende na mimi ila Kaboom usimwambie
Sent using Jamii Forums mobile app