Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Hahahahhahahah majibu ya Don yana ukakasi. Akinijibu hapo nitaishia kusema usiku mwema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki umenishinda tabia we mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahah. Na wakati wakati mwingine hadi anajaribisha.[emoji23][emoji23][emoji23].Haha soma halafu fanya kama unajikuna, huyu mwanaume anajifanya hajui mimi leo navaa size gani khaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Enhee niambie sasa ni nani. Khantwe? Hadi unamuogopa?
Hapo hata dozen nakupa..Nakuja naye! Ila uniongeze sasa vifuniko vya asali hata viwili.
Halafu mimi nitawaacha nitaondoka
Penzi la kijeshi..Mke Brigedia mume Kuruta..Tabu sana..Saluti hadi kipindi cha game..Nisingekuwa mtemi ningepata tabu sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahah majibu ya Don yana ukakasi. Akinijibu hapo nitaishia kusema usiku mwema.
Si umeona kwanza alilonipatia?
Haha uliyataka walahPenzi la kijeshi..Mke Brigedia mume Kuruta..Tabu sana..Saluti hadi kipindi cha game..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha shem si unajua jinsi sina dogo kwenye vya bure? Lazima nijee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwendo wa mateka!!Penzi la kijeshi..Mke Brigedia mume Kuruta..Tabu sana..Saluti hadi kipindi cha game..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23].
Hata we size yako huijui..Nwei ntaleta..Nikileta kubwa utafunga na mkanda..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwendo wa mateka!!
Kama naona anavyokwambia "shuka chini ulisema DKK 5 sasa unakaribia kumi" na mkong'oto juu.
Thank you dear.Happy birthday dear
Enjoy ur day.may God increase your life span..[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlegezee masharti jamani
Na ole ukoseeHata we size yako huijui..Nwei ntaleta..Nikileta kubwa utafunga na mkanda..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje achukue dukani mwenyewe ili apambane na vidosho wanaokuja kuku danga[emoji23][emoji23][emoji23]Hata we size yako huijui..Nwei ntaleta..Nikileta kubwa utafunga na mkanda..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh..Yani hivyo hivyo..Uwa unatuchungulia nn..Hata style zenyewe za kijeda..Ukishindwa anakurudisha depo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwendo wa mateka!!
Kama naona anavyokwambia "shuka chini ulisema DKK 5 sasa unakaribia kumi" na mkong'oto juu.