G
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mokoyo...
Tina hiyo pati ni wapi tuje kutia sunna?
Si mpaka tualikwe😉
DEMBA, naomba nikutambulishe rasmi kwa wifi yako christine Ibrahimhata mimi nilitaka kuuliza hivyohivyo. lakini si umesikia tina anavyosema ni bebi wa muda (ONE NIGHT STAND)
anyway happy birthday makoyo!!!!!!!!!!

Heheh miye siwezi kosa mwaliko lol...maana lazima bodaboda yangu ihusike kuwahisha wadau huko
happy birthday mokoyo