Happy b'day Freeman Mbowe (KUB)!!

Happy b'day Freeman Mbowe (KUB)!!

Mbowe sawa ana mazuri yake lakini hauwatendei haki wazee wa Chadema waasisi unaposema Mbowe kaitoa Chadema Zero.
 
Mbona niliwahi kusikia kuwa alizaliwa december 1961, ndio maana akaitwa Freeman?

ndo maana sisi tuliosoma shule za mkoloni,std viii tulifundishwa hesabu za kutoa na kukopa na kwenda na moja
Ok
1961 - 2013 =52
let 1961 be , independece year/freedom year
let 2013 be end point
Base year- end point=freedom of the freeman
then,
52 is the age of the freeman
Thus, Freeman is Freeman Aikael Mbowe ,the man of volour, the sword,the Cornerstone of the strong party in the weekend State.
Happy birthday The Giant!
 
Mbona niliwahi kusikia kuwa alizaliwa december 1961, ndio maana akaitwa Freeman?

ndo maana sisi tuliosoma shule za mkoloni,std viii tulifundishwa hesabu za kutoa na kukopa na kwenda na moja
Ok
1961 - 2013 = -52
let 1961 be , independence year/freedom year
let 2013 be end point
Base year- end point=freedom of the freeman
then,
52 is the age of the freeman
Thus, Freeman is Freeman Aikael Mbowe ,the man of volour, the sword,the Cornerstone of the strong party in the weekend State.
Happy birthday The Giant!
 
Mbona niliwahi kusikia kuwa alizaliwa december 1961, ndio maana akaitwa Freeman?

kazaliwa mwaka wa uhuru. Mzee Mbowe alijitoa kuleta uhuru kwa kumsaidia Nyerere kipesa. Mtoto anakaribia kuleta uhuru wa pili
 
ndo maana sisi tuliosoma shule za mkoloni,std viii tulifundishwa hesabu za kutoa na kukopa na kwenda na moja
Ok
1961 - 2013 =52
let 1961 be , independece year/freedom year
let 2013 be end point
Base year- end point=freedom of the freeman
then,
52 is the age of the freeman
Thus, Freeman is Freeman Aikael Mbowe ,the man of volour, the sword,the Cornerstone of the strong party in the weekend State.
Happy birthday The Giant!

Viroba Jogoo na ZANZI!
 
hepi bizidei kamanda mkuu wa ukombozi wa hoja,seraaaa, kifikara na ukweli wa taifa hili.
 
Happy birthday njema kamanda tunakuombea maisha marefu zaidi ktk kuwakomboa watanzania mikononi mwa mafisadi ccm
 
HBD kamanda, Mungu azidi kukupa uzima uzidi kuwa chachafya....
 
Ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia gari tu kwanza la kawaida kabisa ambayo anaweka fuel 300,000 anazungunga arusha nzima na moshi,

mwache ale,hivi ni mabilioni mangapi ya kodi za watanzania wanaohangaika usiku na mchana hao mababa zenu mafisadi wanakula?mbowe kulaaaaaaaaa tena leta chopa inayotumia bilion 200 kwa dakika,tutachanga ili uendelee kula mkuu.

HAPPY BIRTHDAY MR MWENYEKITI
 
MUNGU akupe maisha marefu zaidi ya hapo! Happy birthday
 
Happy Birthday Kamanda ''';mbowe;'';'Nakutakia maisha marefu yenye Mafanikio;;Endelea kutuongoza vyema tunajivunia Uongozi wako makini;
1233620_519398231477509_289107821_n.jpg

Back
Top Bottom