Ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia gari tu kwanza la kawaida kabisa ambayo anaweka fuel 300,000 anazungunga arusha nzima na moshi,
Ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia gari tu kwanza la kawaida kabisa ambayo anaweka fuel 300,000 anazungunga arusha nzima na moshi,
Swala la matumizi ya Chopa linakuwasha sana! Pole sana dada! Ni moja kati ya ubunifu uliotukuka!
Heri ya siku ya Kuzaliwa Mh. Freeman Aikaeli Mbowe!
Tarehe kama ya leo miaka 52 iliyopita ardhi ya Tanganyika ilipata baraka kubwa baada ya kupata mtoto aitwae freeman Aikael Mbowe!
Mheshimiwa Mbowe amekuwa na muono wa mbali sana kuhusu taifa hili; amejitolea mwili, nguvu, akili na muda wake kuhakikisha tunaipata 'Tanzania tuitakayo'.
Ameijenga taasisi ya CHADEMA toka zero mpaka sasa ni hero, amegeuza mambo katika siasa za Tanganyika na kwa sasa ni watu wachache wenye matatizo ya akili watapinga kwamba yeye ndiyo 'icon ya siasa'.
Ametukanwa sana, amekejeliwa sana, amepigwa sana, amekoswa na mabomu sana! Hadi katukaniwa mkewe bungeni (Dr. Kigwangalla) Lakini hakuwahi kukata tamaa, hakuwahi kupata taharuki na kulipa kisasi.
Anastahili heshima kubwa, kama mwana JF wa miaka mingi, mimi na wewe tumuombee kwa Mwenyezi Mungu aishi maisha marefu na kuona 'nchi ya ahadi' ingawa yeye kashasema na kuandika katika gari lake, 'nikifa leo msinililie bali nizikeni na endeleeni na mapambano'
Hatutokuangusha jabari letu, there is light at the end of the tunnel!
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Freeman Aikael Mbowe
Happy b'day M/kiti na KUB
ulitaka apae na ungo au............Ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia 00 anazungunga arusha nzima na moshi,
Ameshakuwa mtu mzima sasa mwambieni aache kuuza Madawa ya kulevya.
ameijenga kwa maslai yake, ogopa mtu anaruka na chopa inayotumia 5,000,000 kwa saa moja, lkn anachangisha mia tano ya wananchi ambayo ameitafuta kuanzia asubuhi mpaka jioni, kama kweli alikuwa anawapenda wananchi kwa nini hiyo ela ya kupaa hewan asingetumia kujenga chama na kusaidia wananchi, usafiri anaweza kutumia gari tu kwanza la kawaida kabisa ambayo anaweka fuel 300,000 anazungunga arusha nzima na moshi,