Happy Birthday man! Miaka 60 uliyoishi ni mingi sana best.
Namuomba MUNGU akupe mara sita ya umri wako best.
Happy Birthday my friend.
Happy Birthday Shemeji yangu wa Ukwenhe C6.
Ila hujatuweka wazi mzazi ili kama vp tuwe tunaanza na shkamoo au mambo.
BTW Happy Birthday Mtalaka wa charminglady.
usinizeeshe shem, miaka 27 sio ya kupewa shkamoo, unipe shkamoo ili uninyime nini
Hebu angusha Shhkamoo nene kwangu.
Chagua mwenyewe cha kukunyima.
My hezbendi @C6
hahaha mie mkubwa mwenzio, shkamoo wanatoa watoto, ninyime vyooote ila kimoja tu
Mtake radhi shemeji yangu.
Yaani miaka yake 60 times 6=360!
Unataka afe huku anatembea?
Umri huo si ataishi huku akiwa mifupa mitupu.
Kwani anakunywa gongo....!?
Happy birthday dear
Naelewa wifi yangu wala usijaliWifi taratibu, hawa hawataniwagi!
Napenda kuona ndoa yako na kaka angu inadumu.
hahaha mie mkubwa mwenzio, shkamoo wanatoa watoto, ninyime vyooote ila kimoja tu
Naelewa wifi yangu wala usijali
Mzima wew