Happy anniversary to us

Jomse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
275
Reaction score
92
Ninachukua fursa hii kumshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha leo tarehe 19/8 tumetimiza miaka 15 ya ndoa yetu. Tumebarikiwa kupata watoto 5. Tumepitia misukosuko na dhoruba nyingi sana lakin ni jambo la kumshukuru Mungu mpaka leo bado tupo pamoja. Katika miaka hii kumi na tano nimejifunza kuwa Safari ya ndoa ni kama alivyoimba Maneti ina papa na nyangumi kibao lakini ukimshirikisha Mungu mnasonga mbele. Ningeyaandika mengi sana lakini sipendi kuwachosha.
 


Wow Amazing.. Happy 15th years Anivessary to you and your Family.. May the Lord keeps anointing your marriage in Jesus name.. Amen.. Thanks..
 
Hongereni sana, Mungu azidi kuwatetea, kuwatunza na kuwapigania. Happy 15th wedding anniversary
 
hongera sana mkuu.... so miaka yote 15 hujachepuka kweli au ndo hujakamatwa tu @#&*$!!!
 
Hongera sana na Mungu awajalie maisha marefu yenye Upendo,furaha na mafanikio tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…