Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
True dat..maneno yako ni darasa tosha..watu uwa wanatoa elimu kama hizi kwa malipo..we sijui mashetani yako hayapendi pesa lol...nyc words sisy..kip it up
wapo..japo wachache..huyu namtania tu..najua hana itikadi hizo..niliwahi kumshawishi tutengeneze kitabu tupige pesa akagomahahahaa hapo kwenye red .....hivi hauamini kama kuna wanawake hawana utumwa wa pesa....? kama ukiwa mpenda pesa unakuwa mtumwa...unafanyishwa vitu ambavyo hata mnyama hawezi fanya ila sababu unapenda pesa unavumilia tu....sasa ukishajitambua katika hili....mashetani ya pesa hayawezi kukupanda kamwe......