HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,566
Yupo chato anajifukiza🤣Rais ana habari kuwa idadi ya waliokufa si kumi tena?
Usitutoe kwenye barabara, acha watu wafuatilie, picha anaweza kuleta ya Nigeria.Habari bila picha hainogi.....leta picha....
Uongo uliokithiri ambao huwezi kuthibitisha. Unatafuta umaarufu usiokuwa na tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Akija naomba unistue, kwani yeye haogopi.Mkuu mimi.sitafuti umaarufu wala siitaji
Kama unabisha njoo makaburi ya.kondo ukiwa unatokea chini mitaa ya kanisa katoriki la st. Andrew, njoo moja kwa moja mpka mwisho wa makaburi kwa juu utaona mwenyewe
Anazungusha nyonyo!!!? nan tenaKuna mtu kaambiwa yeye kazi ni kuzungusha, nyonyo.. Sasa sijajua anamaanisha nini. Chukua tahadhari na ujikinge maana hata ukifa serikali bado itakusanya kodi kwa kuwa ndio jukumu lao la kwanza kwenye kununua jeneza lako na kwenye mafuta yatakayotumika kukusafirisha na kukuzikia
Ndio wapi huko kondo bahari beach?
Mimi juzi ndugu yangu tumenyimwa maiti tukaambiwa atazikwa na serikali katika makaburi ya Ununio.
Korona inaua sana jamani.
Cha kushangaza...idadi bado ni 10 tu. Acha tuzidi kujikinga jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae, wewe nenda kauze mihogo VikinduTutajuaje kama anasema ukweli?.....
Sina mashaka na taarifa yako Ila nina swali moja la msingi... Huyo ndugu yako alikuwa na maradhi mengine tofauti na Corona?
Nataka nijue Kama hili gonjwa linaweza kumng'oa mtu hata Kama Hana magonjwa mengine
Mimi naona bora uanzishwe uzi wa TULIOOPOTEZA WAPENDWA WETU KWA UGONJWA WA CORONA TUPEANE UPDATES...Update za corona utasikia vifo viwili waliopona 108.
Watu wanakufa wengi kila mtu akiamua kufunguka Ni shughuli.
Ningekuwa dar nimgekuazima huawei p40 yangu uchukue picha kwa mbaliii,utushirikishe kinachojiri.
R.I.P ndugu zetu
Endelea kukusanyikaWrite your reply...yote Tisa Uzi bila picha ni sawa na chai bila vitafunwa
Je inafanya kazi kweli?TUJIFUKIZE.
Jibu swali wewe kibwengo.